Shikamooni wakubwa na wadogo mambo...mimi kwa majina naitwa nyuki asali(honeybee) ni kijana ninaye kufanya wewe binadamu kuwa tajiri sana bila kuhangaika sana kwa njia mbalimbali kama kuchavusha mazao yako
kukupatia
ASALI(HONEY), NTA (BEESWAX) ninayo itengeneza mie bila kuchakachua na kufanya wewe kutumia hayo mazao yangu na kutengeneza au kutumia kwa njia mbalimbali mfano asali wewe unachukua na tumia kwa kutengenezea
![]() |
CHOCOLATE |
Lakin wewe unijali kama mie ninavyo kujali na kukupenda
Kama hivi kwani nimejitolea kwa hali na mali kukulinda wewe na mazingira yako kufanya uwe na furaha wakati wote usifenja hata kidogo na kufanya wewe uwe na maendeleo mengi katika maisha yako...lakin cheki wewe unavyo nitenda na kuniumiza kwani unilindi na maadui zangu wanaonizunguka kama wadudu,ndege,wanyama..mfano..
![]() |
NDEGE(BIRDS) |
![]() |
-VUNJAJUNGU(PRAYING MANTIS)
-NYIGU(WASP)
|
![]() |
MCHWA(ANTS)
|
NYEGERE(HONEYBADGER)
Muda mwingi najitahidi kupambana na maadui ila nashindwa
Nakuwa mdudu wa kuhamahama kila mara
Nahitaji kupendwa, kulindwa kama wengine ili niwe na furaha ili nizidi kukutumikia bila kinyongo .
No comments:
Post a Comment