Tuesday, 7 May 2013



JE!UNAJUA MZUNGUKO WA MAISHA YA NYUKI?

Mzunguko wa maisha ya nyuki upo katika ngazi 4 yaani..(a)yai{egg} (b)kiluwiluwi{larva} (c)buu{pupa} (d)nyuki kamili{adult}.ukuaji huu unaanza na yai ambalo malikia anatunga na mara tu anapotoka kujamiiana na nyuki dume{drone}. Naukuwaji huu wa nyuki kutoka yai hadi kuwa nyuki kamili huwa una tofautiana na jinsia gani ya nyuki itakayo zalishwa.

kwani kuna aina 3 za makundi {caste} za nyuki 1.worker{kibarua} 2.malikia{queen} 3.nyuki dume{drone}.

zifuatazo ni hatua mabazo caste hawa hupitia kutoka yai hadi kuwa nyuki kamili.

1.worker{kibarua}

HATUA

(a)YAI{EGG}

-hapa yai linaanguliwa kwa muda (siku) 3.

(B)KILUWILUWI{LARVA}.

Katika hatua hii lava mabadiliko ya ngozi yana tokea mara 4 ila kwa muda (siku) tofauti.mageuzi ya kwanza ya ngozi muda (siku)3.5 , mara ya pili muda (siku) 4.5 ,mara ya tatu muda ( siku)6.5 ,mara ya nne ambayo ni badiliko la mwisho kwa hatua hii ya lava ambao huchukua muda (siku)6.5. baada yahapo chumba cha sega cha lava kinafunikwa na nta kwenye muda (siku)8-9.

(C)BUU{PUPA}

-Hapa mambo mawili hutendeka  kwa muda(siku) tofauti.

*pupa hujizungushia mfuko wa nyuzi nyuzi muda (siku) 10.

*pupa kujigeuza ngozi kwa mara ya 5 muda (siku)11. 

(D)NYUKI KAMILI{ADULT}

-Hapa mabadiliko ya ngozi yanafanyika kwa mara ya mwisho na kuwa nyuki kamili  na mabadiliko hayo yanafanyika kwa muda (siku)20.

-Na wa muda(siku)21 anatoka nje ya chumba ambacho alikuwa analelewa na kuwa nyuki kamili.  

2. MALIKIA{QUEEN}.

HATUA

(a)  YAI{EGG}

- Muda (siku) 3 yai linaanguliwa.

(b) KILUWILUWI(LARVA)

 -Hap mabadiliko ya ngozi yanatokea kwa muda (siku) tofauti kwani mbadiliko wa 1 hufanyika muda ( siku) 3.5 ,wa pili ni 3.5 , wa tatu ni 6.5 ,wa nne ni 6.5 , na baada ya hapo muda (siku) 8 chumba cha malikia{queen cell} kinafunikwa na nta .

(C)BUU{PUPA}

-Muda(siku) 10 anajizungushia mfuko wa nyuzi

-Na muda(siku) 10 anafanya tendo la kujigeuza ngozi kwa mara ya  5.

(D)NYUKI KAMILI{ADULT}.

-Muda (siku) 15 anajigeuza ngozi kutoka buu kuwa nyuki kamili   -Muda (siku) 16 anatoka kwenye chumba chake {queen cell} teari kwa kujamiana na nyuki dume{drone}.

3.NYUKI DUME{DROME}.

HATUA.

(A) YAI{EGG}.

-Muda (siku) 3 yai linaanguliwa .

(B)KILUWILUWI{LARVA}

-Hapa lava anajigeuza ngozi mara 4 ila muda (siku) tofauti

*Kwa mara ya  kwanza  muda (siku)4

*Kwa mara ya pili muda(siku)5

*Kwa mara ya tatu  muda(siku)7

*Kwa mara ya nne  muda(siku)7

-Muda(siku)10 chumba cha nyuki dume kina funikwa na nta .

(C)BUU{PUPA}.

-Muda(siku)12 buu anajizungushia mfuko wa nyuzi nyuzi.

-Muda(siku)14 tendo lakujigeuza ngozi kwa mara ya 5 lina tendeka.

(D)NYUKI KAMILI{ADULT}.

-Hapa buu anajigeuza ngozi na kubadilika kuwa nyuki kamili  muda(siku)225.

-Muda(siku) 24 nyuki dume (drone) anatoka nje ya chumba {drone cell} teari kujamiana na malikia{queen} .

Monday, 6 May 2013

Nyuki asali (honeybee)

Shikamooni wakubwa na wadogo mambo...mimi kwa majina naitwa nyuki asali(honeybee) ni kijana ninaye kufanya wewe binadamu kuwa tajiri sana bila kuhangaika sana kwa njia mbalimbali kama kuchavusha mazao yako      
  
  
  kukupatia     
     

    ASALI(HONEY),               NTA (BEESWAX) ninayo itengeneza mie bila kuchakachua na kufanya wewe kutumia hayo mazao yangu na kutengeneza au kutumia kwa njia mbalimbali mfano asali wewe unachukua na tumia kwa kutengenezea 


CHOCOLATE
 Lakin wewe unijali kama mie ninavyo kujali na kukupenda


Kama hivi kwani nimejitolea kwa hali na mali kukulinda wewe na mazingira yako kufanya uwe na furaha wakati wote usifenja hata kidogo na kufanya wewe uwe na maendeleo mengi katika maisha yako...lakin cheki wewe unavyo nitenda na kuniumiza  kwani unilindi na maadui zangu wanaonizunguka kama wadudu,ndege,wanyama..mfano.. 
                                             
                          
NDEGE(BIRDS) 

                            
-VUNJAJUNGU(PRAYING MANTIS)
-NYIGU(WASP)

MCHWA(ANTS)

  
                                                                  NYEGERE(HONEYBADGER)
                         



 Muda mwingi najitahidi kupambana na maadui  ila nashindwa 
 


Nakuwa mdudu wa kuhamahama kila mara  



Nahitaji kupendwa, kulindwa kama wengine ili niwe na furaha ili nizidi kukutumikia bila kinyongo  . 


Did you know that..

                                    

Honey - is the excretions of plant sucking insects on the living parts of the plants,which  the honeybees collect,transform and combine with specific substances of their own,deposit,remove water,store and leave to ripen and mature in honey combs.

Sunday, 5 May 2013

WELCOME TO OUR BLOG

Tanzania is the good county which has good environment for producing high quality bee products this is because there are abundant plant spicies that produce nectar, pollen for honeybees. The main bee products in Tanzania are HONEY and BEESWAX. And these products are high quality in  hives.so welcome here in Tanzania to get the quality products special for you my guest.